Kenyan Runner Support

Ni nini SEV

 

SEV ni bidhaa ya ambayo hutumiwa na wanariadha wengi.

 

Mimi pia nimetumika Kwa miaka mitatu.

Ni bidhaa muhimu.

 

Pia utaulizwa wa Kenya wengi ambao huishi katika nchi ya Japan.

"SEV Ni nini?".

 

SEV ni tekinolojia ambayo hushughulikia binu ya kutodhoofika kwa  viungo vya mwili.

 

Kwa kutoza elektroni na "mitochondrial" kujenga nishati ya mwili, na kuweka hali bora zaidi.

 

SEV ni tekinolojia katika Japan, Marekani, na uigereza na inahati miliki kubwa katika nchi za duniani kote.

 

Ni bidhaa inapendekeza sana kama mkufu wa dhahabu na hudumiza hali bora zaidi ya mwili.

 

Watu ambao wanataka kujaribu, tafadhali wasiliana nami.

 

mwanariadha wa Kenya anapewa  discount maalum kuanzia.

Kenyan Runner Support